Lineup: 1. Japan, Malaysia commit to free and open world order 2. Chinese actor rescued in Myanmar from human traffickers 3.
A detention warrant has been issued for impeached South Korean President Yoon Suk-yeol. But the head of the presidential ...
Maafisa wa vikosi vya walinzi wa pwani vya Japani na India wamefanya mazoezi ili kudhibiti umwagikaji wa mafuta na vitu ...
Waziri Mkuu wa Italia Giorgia Meloni amepuuza maoni ya Rais mteule wa Marekani Donald Trump kuhusu Greenland na Mfereji wa ...
Chama kikuu tawala nchini Japani cha Liberal Democratic, LDP kinatoa wito kwa serikali ya Japani kuisihi Marekani kuondoa ...
Shirika la habari la CNN nchini Marekani linasema Rais mteule Donald Trump huenda akatangaza dharura ya taifa ya kiuchumi ili ...
Urusi imeelezea tahadhari kuhusu matamshi ya Rais mteule wa Marekani Donald Trump kwamba Marekani inataka kulitwaa eneo ...
Mamlaka katika mji wa Los Angeles nchini Marekani zimeagiza kuhamishwa kwa mamia ya maelfu ya watu kutokana na mioto ya ...
एनएचके को ज्ञात हुआ है कि जापान के 5 मंत्रालय अपनी वेबसाइटों के लिए पहले इस्तेमाल किये जा चुके कुछ डोमेन नामों को पर्याप्त ...
जापान सागर के तटवर्ती इलाकों में बर्फ़बारी जारी है। मौसम अधिकारियों का कहना है कि बर्फ़ का तेज़ी से जमना अब कम हो रहा है, ...
Waziri Mkuu wa Denmark Mette Frederiksen ameashiria kufanya mazungumzo na Rais mteule wa Marekani Donald Trump kuhusu eneo la Greenland. Frederiksen alisema anaamini watakuwa na mazungumzo mazuri kuhu ...
Rais wa Ukraine Volodymyr Zelenskyy anasema takriban wanajeshi 4,000 wa Korea Kaskazini hadi sasa wameuawa au kujeruhiwa wakati wakipigana pamoja na vikosi vya Urusi dhidi ya nchi yake.