'Mapenzi hayana tiba lakini ndiyo dawa pekee ya magonjwa yote' ni kauli iliyowahi kutolewa na mwandishi nguli wa riwaya, mashairi na mwandishi wa nyimbo nchini Cadana, Leonard Cohen. Cohen ...
Katika ushabiki wa mchezo wa soka mara nyingi wanasoka wakipata umaarufu mkubwa hasa kutokana na kusakata kabumbu ambao ndio utamu wa soka lenyewe. Hata hivyo nchini Tanzania yupo shabiki Bwana Steven ...