Maelezo ya picha, Marlène-Kany Kouassi ni mmoja wa washindi wawili pekee wa taji la Miss Ivory Coast katika kipindi cha zaidi ya miongo sita waliovaa taji lao juu ya nywele zao za asili. 6 Aprili 2025 ...
Mitindo ya nywele ya kusuka kwa kuongezea nywele zingine bandia ama asili ni maarufu sana kwa wanawake weusi, ikiendelea kupendwa na watu mashuhuri na akina mama wa ukoo. Lakini sasa, maswali ...