Mwanaume mmoja nchini Ufaransa amekiri kumlisha mke wake madawa ya kulevya na kuwaalika wanaume kadhaa kumbaka. Anatuhumiwa pia kwa ukiukaji kadhaa wa faragha kwa kurekodi na kusambaza picha na ngono.
Mika Stevens, mwanafunzi wa Kiholanzi mwenye umri wa miaka 15, alianza kufunga wakati wa Ramadhani na anasema ataendelea kufanya hivyo mwezi mzima. Mika si Muislamu, bali ni Mkristo anayefuata ...
Kat Watkins, mwanamke anayetumia kiti cha magurudumu, anasema daktari alidhani hakuwa akifanya ngono kwa sababu ya ulemavu wake. Watkings, mwenye umri wa miaka 37 na mkazi wa Swansea, nchini Uingereza ...
Some results have been hidden because they may be inaccessible to you
Show inaccessible results